Sheria dhidi ya udukuzi wa mawasiliano ya simu

Sheria dhidi ya udukuzi wa mawasiliano ya simu

BURDENBEARER

New Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Kama inavyojieleza, hivi hapa Tanzania ni sheria ipi inazuia udukuzi wa mawasiliano ya simu na je ni hatua zipi za kisheria zinaweza kuchukuliwa dhidi ya mtu anayefuatilia mawasiliano ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake?
 
Back
Top Bottom