B BURDENBEARER New Member Joined Nov 18, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Nov 19, 2013 #1 Kama inavyojieleza, hivi hapa Tanzania ni sheria ipi inazuia udukuzi wa mawasiliano ya simu na je ni hatua zipi za kisheria zinaweza kuchukuliwa dhidi ya mtu anayefuatilia mawasiliano ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake?
Kama inavyojieleza, hivi hapa Tanzania ni sheria ipi inazuia udukuzi wa mawasiliano ya simu na je ni hatua zipi za kisheria zinaweza kuchukuliwa dhidi ya mtu anayefuatilia mawasiliano ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake?