Sheria gani inazuia pornography Tanzania?



Kila kitu kiko covered kwenye sheria zetu,kwa mfano kuendesha danguro,kufanya umalaya,ufiraji tafuta sheria ya kanuni ya adhabu ( Penal Copde) kwenye chapter inayosema Offences against Molarity. Tatizo ni ushahidi, mfano umesema kwa wanaouza miili yao kuwa hakuna sheria ndio maana ufunguliwa mashitaka ya uzururaji, ukweli ni kwamba sheria ipo bali ushahidi ndio kikwazo,kama kuna proof ya uzembe na uzururaji wanaweza kufungwa,vinginevyo sheria zetu zimeprovide yote hayo yaani makosa mbalimbali likiwemo la kutembea uchi hadharani,yaani 'indicent exposure'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…