Kuna kitu tukiita defence; sio kila anye Ua uadhibiwa; tunaangalia makusudi, je umekusudia au la! zifuatazo ni utetezi unaoweza kukuacha huru nakuacha watu wakisingizia rushwa:
1. Provocation (kutiwa hasira na aliyedhuriwa. 2. Mistake (kukosea mfano kukosea kufyatua risasi mtu ambaye akupaswa kwa kutokujua) 3. Insanity (wazimu wa muda) 3. Self and property defense (kujiami au kuami mali).
Usidanganye raia na watu wasiojua sheria, defence hizo ulizozitaja pamoja na nyingine hazimfanyi mtu aliyeua kuachiwa huru kama unavyotaka watu waamini bali effect yake ni kupunguza ukali wa kosa toka kuua kwa kukusudia ( murder) to a lesser offence of Kuua bila kukusudia
( manslaughter).
Fanya tafiti, utagandua kuwa manslaughter inaweza kumuacha mtu huru mpaka kumfunga maisha. Haujakosea hata hivo kuatahadharisha hao uliowaita "hawajui Sheria".
Kuna kitu tukiita defence; sio kila anye Ua uadhibiwa; tunaangalia makusudi, je umekusudia au la! zifuatazo ni utetezi unaoweza kukuacha huru nakuacha watu wakisingizia rushwa:
1. Provocation (kutiwa hasira na aliyedhuriwa. 2. Mistake (kukosea mfano kukosea kufyatua risasi mtu ambaye akupaswa kwa kutokujua) 3. Insanity (wazimu wa muda) 3. Self and property defense (kujiami au kuami mali).
Nadhani pa kuanzia ni kuthibitisha kuwa haya yametokea:
1. Mens Rea
2. Actus Reus
Ukisha thibitisha kuwa hayo yametokea/hayakutokea , then hapo unaanza ujanja wa kucheza na maneno- Uanasheria ni elimu ya kupingana na haki!!!!!!!!!!!!!!!
[/COLOR]
Hapo pekundu - nimeachwa kwenye mataa - nisaidie kwa kutumia lugha rahisi.
Hapo pa blue iwapo ni kweli - sijui nimshauri kijana wangu anayetaka kusomea sheria aachane nayo!