mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 256
Sheria ni kitu cha muhimu katika nchi yeyote. Sheria zinapokuwa sahihi na zinazokubalika husababisha nchi husika kuepuka misukosuko mbalimbali ya kijamii. Pamoja na uzuri wa sheria za nchi yetu Ya Tanzania. Kuna sheria chache ambazo nazani katiba mpya lazima ihakikishe haendeleu kuwepo;
1. Sheria ya Kinga ya Hukumu kwa Rais (i.e ikiendelea inaweza kujenga Madikteta!)
2. Sheria ya kinga ya Bunge ( Wanyonge wanakosa fursa hii)
3. PF3 ( Majeruhi wengi husa au kudhuika zaidi pale inapotakiwa wapate pf3 ndio wapelekwe hosipital)
4. Kifungo cha miaka 30 kwa anayabaka kinaegemea sana kwa mwanamume je mwanamke? (irekebishwe!)
5. n.k