Sheria imepitisshwa Kenya, polisi hawana ruhusa tena kuwafunga watu jela kwa makosa madogo madogo

Sheria imepitisshwa Kenya, polisi hawana ruhusa tena kuwafunga watu jela kwa makosa madogo madogo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Polisi hawana ruhusa tena ya kumsweka ndani Mkenya yeyote mwenye kosa lolote ambalo adhabu yake haizidi miezi sita. Mambo kama ulevi, kutofunga mikanda na makosa ya usalama barabarani n.k. Yaani polisi atakua anakutoza faini na kama huna hela muda huo anakuamrisha uhudhurie mahakamani siku fulani kisha anakuaga, hamna cha kusweka watu ndani kiholela, ila ole wako ugome kuhudhuria mahakama.

Yalikua mazoea polisi kuwasomba watu kwenye defender zao kitaa na kuwabambikiza kesi.
Kenya inazidi kuwa nchi tofauti sana Afrika hii, tunaingia kwenye level mpya...

Kuna nchi majirani mkuu wa mkoa ana ruhusa ya kuamrisha amrisha polisi na kuwatumia kama vijana wake wa kazi, akikuchukia sura anaamrisha utiwe ndani, au unakuta waziri anaaingilia bifu za wasanii na kuegemea upande mmoja na kumsweka ndani Dudu Baya
---------------------

The office of the Inspector General of Police has approved the new National Police Service (NPS) Bail and Bond Charter, which seeks to save petty offenders from detention.

According to the Charter, persons who fall victims to arbitrary swoops by police for being drunk and disorderly, loitering, being found without national identity card, and drunk drivers who fail alcoblow test will no longer be arrested or forced to pay cash bail.

“We shall not remand you in custody for minor offenses, if the offense is punishable by a fine only or by imprisonment for a period not exceeding six months” Clause two of the Charter reads.

Most traffic offenders, apart from those accused of serious offenses like causing death, will either be given free bonds or released unconditionally.

kenya-police_9.jpg
Police van
Such offenders will instead be informed to appear in court, on convenient dates, after being issued with free police bonds.

However, for other serious offences, police will promptly grant the offender reasonable bail terms regardless of the time of day or night.

  • Clause seven of the Charter stipulates that in case where a suspect is issued with cash bail, it shall be availed to court or refunded to the suspect in a timely and expeditious manner
    The NPS Director of Communication Charles Owino noted that the move would help in decongesting the stations.
    At the same time, Owino urged suspects to honour the summons to appear in court, adding that the system would work even better where offenders could be informed of the fines and pay wherever they are.
    The Bail and Bond Charter was developed by the Bail and Bond Implementation Committee on the request of the National Council on Administrative Justice.
    Its directive has reportedly been communicated to all officers across the country and the National Police College commandant has also directed that the Charter be included in the training curriculum.
    charles-owino-blue-uniform.jpg
    NPS Director of Communication Charles Owino

https://www.kenyans.co.ke/news/38272-ig-approves-new-law-banning-jailing-petty-offenders
 
Kumbe kabla jeshi la polisi la Kenya lilikuwa na mamlaka ya kutafsiri sheria.

Kwetu sisi kila kitu ni mahakama.
 
Kumbe kabla jeshi la polisi la Kenya lilikuwa na mamlaka ya kutafsiri sheria.

Kwetu sisi kila kitu ni mahakama.

Kwenu kisiwa kipi maana kama ni Tanzania ambayo naijua yaani ipo nyuma sana, polisi hutumika kama vijana wa kuchezewa chezewa, watu wanafungiwa jela kiholela, nilitazama video moja hadi rais akaingilia kisa cha jamaa aliyeenda kudai deni lake sehemu halafu akaswekwa ndani na kuandikiwa kesi ya mauaji.
Sehemu nyingine mkuu wa mkoa anaamrisha watendaji watupwe jela kisa wamechelewa kuja kikao chake kwa muda alioagiza, huko kwenu mtu kuonja jela ni jambo rahisi sana, yaani waziri, mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, spika wote wana mamlaka ya kutumia polisi kama vijana wa kuamrishwa amrishwa.
Spika anaamrisha mbunge akamatwe na kutiwa ndani, nilishangaa sana.....katiba yenu ovyo sana na msipoibadilisha ipo siku itawatokea puani.
 
Kati ya yote ulioyaongea, kenya ndiyo nyumbani kwao. Sisi tangu zamani, rumande ni masaa 24, lkn sema kuna ugumu wa kutekeleza hiyo sheria.
 
Back
Top Bottom