Waelewa wa jambo hili hasa upande waajira hivi mtu akiajiriwa katika wilaya tamisemi je akiacha kazi na kuomba kwingine ataajiriwa? Ila siyo tamisemi tena anaweza akaingizwa kwenye malipo ya serikali tena payrol
Kabla hujaacha kazi unaomba kwenda kusoma then ukiwa masomoni kumbuka unalipwa bado na tamisemi, unaanza kusomea mambo ya kule unakotamani kufanya kazi na ukimaliza masomo una-apply kule kupya ukikubaliwa unatoa taarifa kwa mwajiri wa awali. Unahamia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.