Sheria inanitaka nizingatie mambo gani ninapotaka kununua gari kutoka kwa mtu aliyelitumia tayari?

Sheria inanitaka nizingatie mambo gani ninapotaka kununua gari kutoka kwa mtu aliyelitumia tayari?

AyM

Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
17
Reaction score
22
Nikitaka kununua gari, je ili niwe salama kwa habari ya umiliki wa gari nililonunua kwa mtu ni mambo gani ya lazima kuyafanya kwanza kabla ya kuitumia barabarani yanayohalalisha umiliki wangu?
 
Back
Top Bottom