A AyM Member Joined Dec 7, 2016 Posts 17 Reaction score 22 Dec 29, 2017 #1 Nikitaka kununua gari, je ili niwe salama kwa habari ya umiliki wa gari nililonunua kwa mtu ni mambo gani ya lazima kuyafanya kwanza kabla ya kuitumia barabarani yanayohalalisha umiliki wangu?
Nikitaka kununua gari, je ili niwe salama kwa habari ya umiliki wa gari nililonunua kwa mtu ni mambo gani ya lazima kuyafanya kwanza kabla ya kuitumia barabarani yanayohalalisha umiliki wangu?