Sheria inasamaje kuhusu kulipwa au kudai fidia?

Robert edo

Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
44
Reaction score
5
Je kuna kikomo?(time limit) ya kudai au kulipwa fidia au inawezekana tu kulipwa au kudaiwa kwa muda wowote? Wadau wa sheria msaada Tafadhali.
 
Sheria imeweka ukomo katika kesi za madai, ambapo kila kesi ya madai ina muda wake wa ukomo wa mtu kuweza kudai na kupata fidia. Sheria inayoongoza ukomo wa madai ni The law of Limitations Act cap 89.
 
Km alivyosema BISECKO ndo hvyo. Je madai yko yanahusu nini ili tukwambie km u ndan ya muda ama laa!. (ie time barred)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…