Sawa,sasa sheria haiweki mipaka ya kiwango cha fidia?Maana wengi wanadai shilingi bilioni mojaYes inawezekana under "DEFAMATION" ukimshitaki mtu kwenye hilo kosa utaweza kupata gharama/fidia za yy kukuchafua endapo tu utaweza kuionyesha mahakama ELEMENTS ZINAZO-FALL under defamation na kuweza kuzi-prove,
1: statement iliyosemwa au kuandikwa juu yako ambayo imekuchafua inatakiwa iwe ya uongo.
2: statement hiyo inatakiwa iwe imejulikana au kusikika na third party
3: statement hiyo inatakiwa iwe imekuletea madahara mbele ya jamii
Sheria haijaweka kiwango ila kama itaweka hata trilioni moja ww uliyeeka ndo unatakiwa uionyeshe mahakama why ikupe hiyo pesa yote. Mfano rahisi: waziri kwa mfano akichafuliwa jina gharama yake ya madai itakuwa juu tofauti na mkulima wa kawaida ambaye hajulikani sana akichafuliwa junaSawa,sasa sheria haiweki mipaka ya kiwango cha fidia?Maana wengi wanadai shilingi bilioni moja
Nashukuru sana!Sheria haijaweka kiwango ila kama itaweka hata trilioni moja ww uliyeeka ndo unatakiwa uionyeshe mahakama why ikupe hiyo pesa yote. Mfano rahisi: waziri kwa mfano akichafuliwa jina gharama yake ya madai itakuwa juu tofauti na mkulima wa kawaida ambaye hajulikani sana akichafuliwa juna
Plz. Nakuomba pmYes inawezekana under "DEFAMATION" ukimshitaki mtu kwenye hilo kosa utaweza kupata gharama/fidia za yy kukuchafua endapo tu utaweza kuionyesha mahakama ELEMENTS ZINAZO-FALL under defamation na kuweza kuzi-prove,
1: statement iliyosemwa au kuandikwa juu yako ambayo imekuchafua inatakiwa iwe ya uongo.
2: statement hiyo inatakiwa iwe imejulikana au kusikika na third party
3: statement hiyo inatakiwa iwe imekuletea madahara mbele ya jamii