rajiih
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 489
- 744
Habari wana JF poleni na Majukumu ya kazi, Naomba niende Moja kwa Moja kwenye point.
Jana nilikua katika daladala naelekea G Mboto lakini tulipokua tumekaa Mataa ya Buguruni dereva alianza kuwa busy na simu hata baada ya Mataa kuruhusu.
Hali Ile ilipelekea mpaka abiria kuanza kumsema yule dereva lakini kwa dharau alianza kuongea kwa majigambo kuwa hatujui sheria za barabarani hivyo akitutaka kukaa kimya wakati huo akiwa Bado anaongea na simu zaidi.
Wenye kujua sheria mtusaidie katika hili
Nawasilisha.........