Mfano: Benard Membe au Tundu Lissu akiwa mgombea wa chama B na katikati ya muda wa kampeni kwa mfano mwezi wa kumi tarehe za mwanzo akaamua kuunga juhudi. Je, sheria ya uchaguzi inatamka nini kwalo?
Kwanini ajitoe? Binafsi nadhani siku ya uchaguzi itabidi isogezwe mbele huku chama husika kikifanya mchakato wa kupata mtu wa kuchukua nafasi hiyo. Najaribu tu kufikiri.