Sheria inasemaje endapo nimemkopesha mtu pesa bila maandishi

Msg mlizo chat au mrekodi ukimpigia kudai, ila mali bila daftari hupotea bila habari
 
Mpaka hapo ulipo nadhani una ushahidi wa msg kama huna naribu kutuma msg ajibu ionekane unamdai, piga simu ukizungumzia deni lenu huku ukimrekodi huo utakuwa ushahidi tosha, shida anaweza kukubali ila akawa anakupa elfu 60 kila mwezi.
Asante sana kwa ushauri mkuu,
 
Mrejesho ni kwamba, tulipelekana police baada ya kufika Hapo jamaa akawekwa ndani kwa masaa 3 then akaomba aje tuongee ndipo akakiri kuwa namdai na akaahidi kulipa Tsh 60,000 kwa mwezi.


Asanteni sana kwa ushauri wenu
 
Mkuu yule ni kijana mdgo sana, tumesoma wote darasa moja

Kama atanizungua zaidi mipango yangu ni kuchukua kifaa cha inchi kali na kufanya namna afu natoweka kbsa naenda kuanza upya
Sasa huo utakuwa ni ujanja au ujinga?!!labda kama na wewe unaenda kuamza upya mbinguni sawa, lakini kama utabakia hapa duniani, na ukakamatwa utajiona bonge la mjinga!!kwani ni kufia jela tu
 
Nielekeze kwa mtaalam aisee
 
Mbembeleze akupe ahadi lini atakupa?
Akikubali muombe mkaandikishiane mbele ya mashahidi hiyo tarehe ikifika akulipe ,Hapo utakuwa umepata ushahidi.

Tofauti na hapo ni ngumu,
 
Ulimuazima ili akurudishie, epuka neno kukopesha, utawajibika.
 
Ndugu afisa mikopo nikopee namm
 
Mkuu jaribu kwenda kuongea nae ukiwa unarekodi
Fanya kama unamuulza awe anakili ulimkooesha na wengine ili kukamilisha ushahidi then uchukue hatua
 
Ulimfanya nini mkuu mpaka akuheshimu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…