Sheria inasemaje juu ya mkataba wa kazi ukiisha?

G-ManiaX

Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
14
Reaction score
2
Habari mabibi na mabwana

Natumai wanachama wenzangu wote mnaendelea vizuri. Kuna jambo ninaomba kutoka kwenu msaada juu ya kichwa cha habari tajwa hapo juu. Mkataba wa kazi kama unaisha karibu na mwisho wa mwezi kisha ukafanya taratibu za kukamilisha mkataba wako (Exit clearance). Baada ya hapo ukaambiwa mshahara utapata baada ya wiki mbili ukiisha huu mwezi uliomaliza mkataba. Yani kwa maana mfano mkataba unaisha tarehe 23, basi mwezi ukiisha tarehe 31, kisha kati ya tarehe 1 mpaka 15 ndo utapa ujira wako.

Tafadhali naombeni msaada juu ya hilo jambo sheria ya kazi inasemaje?
 
Mkataba upi kuna aina nyingi za mikataba ya kazi specify
 
Wakuu msaada tafadhali mwenye uelewa wa swala hilo tajwa hapo juu
Tunahitaji ufumbuzi wenu
Huku tuliko tunahisi kama tuna ibiwa
Mwenye uelewa wowote
Juu ya kumaliza mkataba wa mwaka mmoja wakazi malipo yake yana fanyikaje je..?
1)kunalikizo
2)kuna nauli
3)kuna kiinua mgongo yaani siku saba ktk mwaka..
Naje?..kama unaendelea na mkataba je...nilazima ulipwe mkataba wa awali kwabla ya kuendelea na mwingine..
Tunaombeni mwenye uelewa atupe Elimu hiyo
Kama mimi sina ninalo jua nahisi kama naonewa...
Wenu Duwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…