P parabeva Member Joined Apr 15, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Apr 24, 2012 #1 Sheria inasemaje kama mpelelezi kabadilisha exhibit,na kuweka ya kwao,na kukulazimisha ukubali ni ya kwako?Mahakamani mtu anaweza akatumia sauti aliyerekodi akitishiwa kituo cha polisi kama ushahidi?
Sheria inasemaje kama mpelelezi kabadilisha exhibit,na kuweka ya kwao,na kukulazimisha ukubali ni ya kwako?Mahakamani mtu anaweza akatumia sauti aliyerekodi akitishiwa kituo cha polisi kama ushahidi?
W WILSON MWIJAGE JF-Expert Member Joined May 30, 2011 Posts 276 Reaction score 78 Apr 24, 2012 #2 Ndugu, Kama umebambikiwa mashtaka au kulazimishwa, ukifika mahakamani una nafasi ya kukataa ulichosema polisi ili kuweka kumbukumbu sawa
Ndugu, Kama umebambikiwa mashtaka au kulazimishwa, ukifika mahakamani una nafasi ya kukataa ulichosema polisi ili kuweka kumbukumbu sawa