Mimi kwenye cheti cha kuzaliwa nimeandikisha majina mawili yaani Frank Mkono lakini kwenye vyeti vya taaluma natumia jina moja yaani Mkono hili jina la Frank ni ubatizo je hii haiwezi kuleta matatizo baadae pengine labda ikaonekana ni watu wawili tofauti?