Lkn mbona km tunaenda nje ya mada?
,halaf pia nyie mnaomuhukum huyo dada mu wakamilifu kiasi gani?
Ukimnyoshea mwenzako kidole vingapi vinakuangalia ww
Au nan alo mkamilifu wa kumpiga mawe yule dada?
We vipi wewe? Kwani wewe ukienda studio au kwa photographer ukapiga Picha na akakuletea Picha zako ni kosa kisheria? Acha kujenga hoja za kuwatetea mashoga.