N Nevets New Member Joined May 27, 2021 Posts 1 Reaction score 1 Dec 21, 2024 #1 Watu wa Halmshauri wamekuwa wakizunguka kwenye biashara tofauti na wakipiga faini na ukishindwa kulipa wanakuweka ndani. Je, Sheria inasemaje kuhusu hili?
Watu wa Halmshauri wamekuwa wakizunguka kwenye biashara tofauti na wakipiga faini na ukishindwa kulipa wanakuweka ndani. Je, Sheria inasemaje kuhusu hili?