Jamhuri ndiyo yenye jukumu la kushitaki. Lakini kuna kitu kinaitwa private prosecution. hata wewe unaweza kwenda mahakamani kushitakiMSAADA WA KISHERIA DPP ,AG ,MAJAJI, MAHAKIMU,MAWAKILI NA WADAU WENGINE WA TAALUMA YA SHERIA.
Wakuu naomba kufahamishwa kwamba sheria ya nchi yetu inasemaje iwapo ikibainika mtu au kikundi cha watu wamebeba silaha na kuvamia eneo kwa nia ya kujichukulia mali.
· Je jukumu la kuendesha mashitaka ya aina hii ni la nani?
· Kipindi ambacho kesi inaendeshwa mtuhumiwa/watuhumiwa wanakuwa na haki ya dhamana?
· Je thamani ya mali iliyochukuliwa ni kigezo cha kufungua shitaka?
Jamhuri ndiyo yenye jukumu la kushitaki. Lakini kuna kitu kinaitwa private prosecution. hata wewe unaweza kwenda mahakamani kushitaki
Yah Criminal procedure Act inaruhusu mtu kufungua kesi ya jinaiJe private prosecution ni mbadala wa Public prosecution ?
No, not at all. Mfano si unaona Bashite anakingiwa kufua wakati kuna jinai zinamkabili. Mwananchi unaweza kwenda kushitaki ingawa kuna mizengwe maana DPP anaweza kuamua ku withdraw kesi yako! Sheria inamruhusu!Je private prosecution ni mbadala wa Public prosecution ?
Mkuu umegonga msumari. Kesi iliyozaa maswali yangu ni hiyo ya huyo MTU na genge lake. Jamhuri kama vile inakimbia majukumu, nini kifanyike ? Na nani?No, not at all. Mfano si unaona Bashite anakingiwa kufua wakati kuna jinai zinamkabili. Mwananchi unaweza kwenda kushitaki ingawa kuna mizengwe maana DPP anaweza kuamua ku withdraw kesi yako! Sheria inamruhusu!
Tanzania Hakuna private prosecutionJamhuri ndiyo yenye jukumu la kushitaki. Lakini kuna kitu kinaitwa private prosecution. hata wewe unaweza kwenda mahakamani kushitaki
ipo, inaruhusiwa ila haijawai kutokea mtu akaenda mahakamani! Unaripoti polisi wanachukua mashitaka!Tanzania Hakuna private prosecution
UnauhakikaTanzania Hakuna private prosecution