Sheria inasemaje kuhusu hili?

baina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
219
Reaction score
59
Mimi ni mwajiriwa ( permanent & pensionable) na mwana ppf. Jambo la ajabu mwajiri anataka kuniweka kwenye ajira ya mkataba, je kwakuwa mimi kwa maana nyingine sitakuwa wa ajira ya kudumu na kwa hiyo sitapata pensheni je mwajiri havunji mkataba wangu mimi na ppf? Je, itakapotokea redunduncy nina haki ya kudai fidia toka kwa mwajiri kwa kuvunja mkataba wangu na ppf kwani michango yangu tayari itakuwa haina maana tena kwa upande wa pensheni? Je, ikitokea nikapewa redunduncy ni haki ya kudai vitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…