Sheria inasemaje kuhusu hili....

Jipange mlipe deni la dada yenu, huo ndio uungwana. Sheria iache kwanza. Wakimdhuru utasema hanihusu? Jadilianeni muwe waungwana.
 
Wapuuze tu hao. Kama mama yako unajua hausiki kwa namna yoyote basi hawawezi kufanya lolote. Mkataba waliingia na dada yako ndo inabidi yeye ahusike kulipa deni.
 
Duuhh Pole sana , Mbon Dada atamfanya mama kuumwa.

Wanakuja walosemea hizo mambo hope utapata A-Z !!
 
deni si la dada yako sasa wanakujaje kuuza shamba ndio walikubaliana hivyo
 
Kama aliweka dhamna mali zenu ni halali waviuze
 
Kama walikubaliana familia hapo mali kuuzwa ni sahihi. Kama dada yao aliingia mkataba peke yake bila kuishirikisha familia hapo yeye ndo atahusika.
 
Kama walikubaliana familia hapo mali kuuzwa ni sahihi. Kama dada yao aliingia mkataba peke yake bila kuishirikisha familia hapo yeye ndo atahusika.
Aliingia mkataba kivyake na hakuna mwanafamilia anaefaham. Na anamaisha yake yeye kama yy
 
kama kweli wakija uza itakula kwao............lakin mkuu ni kweli mlikua hamjui kama ndugu yenu alikua anachkua mali pesa za watu? maana hata kama sheria itawalinda but mmewaharibia watu maisha yao kwa kuwaharibia kikundi chao ukizngatia maisha yalivyo magum kpnd hiki so km mnaweza lipeni tu hilo deni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…