Mkuu kama unahitaji nakala ya hukumu ili ufanye appeal ni bora ukalodge hiyo appeal mahali husika pasipo hiyo nakala. Wao (hiyo mamlaka ya appeal) ndio watomba hiyo nakala toka CMA, wakati mwingine huwa wanatumia hii loophole kukuchelewesha ili muda wa appeal upite