July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
habari..... Je kama unataka kufanya joint na mtu katika biashara fulani tuseme ya duka. Unatakiwa ufate taratibu zipi?? Kuna mikataba sehemu fulani fulani??? Naomba nielekezwe tafadhali.asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta wakili aliye karibu nawe anaweza kukushauri jinsi ya kufanya... Usikubali au kumwamini mtu yoyote katika mambo ya kufanya biashra na mtu bila ya kujuwa haki yako na huyo unayetaka kufanya naye biashara.habari..... Je kama unataka kufanya joint na mtu katika biashara fulani tuseme ya duka. Unatakiwa ufate taratibu zipi?? Kuna mikataba sehemu fulani fulani??? Naomba nielekezwe tafadhali.asante