Sheria inasemaje kuhusu huduma [ matunzo ] ya mtoto ambaye wazazi wametengana

Sheria inasemaje kuhusu huduma [ matunzo ] ya mtoto ambaye wazazi wametengana

kiloloma

Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
54
Reaction score
3
Naomba msaada wa kisheria kama inavyojieleza hapo wazazi wametengana na mtoto anakaa na mama yake.Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Wapendwa tujitahidi kuwa specific enough, tambua kuwa unaetarajia msaada toka kwake ni binadamu na angependa awe na pa kuanzia anapotoa huo msaada, sasa kama wewe mwenye shida unaandika kivivu namna hiyo unatarajia nini from the respondents..!? Tujifunze.
 
Maelezo gani unayoyataka hapo nanachoombwa kujuzwa ni sheria za ustawi wa jamii
 
Back
Top Bottom