Wapendwa tujitahidi kuwa specific enough, tambua kuwa unaetarajia msaada toka kwake ni binadamu na angependa awe na pa kuanzia anapotoa huo msaada, sasa kama wewe mwenye shida unaandika kivivu namna hiyo unatarajia nini from the respondents..!? Tujifunze.