anaweza kufungwa kifingo kama cha miaka si zaidi ya saba. grievous bodily harm, angalia penal code utaona vizuri. however, kwasababu ya ni wanandoa, namshauri apeleke kwa maprosecutor ombi la kuomba kufuta kesi kwa sababu kuwa ameshapatana na mumewe na labda kwa minajiri ya watoto ili wasiathirike anaomba kesi ifutwe ili mumewe arudi home kulea watoto.kesi inaweza kufutwa kwa minajili kama hiyo. si shauru wanandoa wawe wanapelekana mahakamani na kwenda kutoa ushaidi ili mumewe au mkewe afungwe, watoto je? utalea peke yako? na ukifanya mchezo atafungwa kweli. kuhusu huyo aliyesema anaweza kupewa fine, labda kama atakuwa mahakama ya mwanzo ambako mimi penal code yao au mweneno wao ma mashitaka huwa siufuatilii sana, hapo hamna altenative ya fine, ni kifungu tu.