Hapa tunatumia Sheria au sharia?
Amesema SHeria........ndio maana majibu hakuna
Hilo lilikuwa swali la nyongeza mkuu!
Wanajanvi jana asubuhi nilikuwa nikifuatilia matangazo ya Channel 10, nikamuona bwana mkubwa wa nchi akiwapa pole wakiristu ambao makanisa yao yamechomwa moto na kuporwa, Moja ya vitu alivyosema ni kwamba kukojolea kitabu cha dini ni kosa. Ingawa nakubaliana naye kuwa kwa utamaduni tulioujenga wa kuheshimiana na kosa lakini nikajiuliza sheria inasemaje kuhusu hili au iko kimya? Ndo maana nikalitupa hapa janvini waliobobea katika sheria watupe ushauri.
Nawakilisha.
Adhabu ni viboko kumia na viwili .....
Kakojolee kitabu cha imani za watu mbele yao halafu utajuwa sheria na hukumu yake.
Wanajanvi jana asubuhi nilikuwa nikifuatilia matangazo ya Channel 10, nikamuona bwana mkubwa wa nchi akiwapa pole wakiristu ambao makanisa yao yamechomwa moto na kuporwa, Moja ya vitu alivyosema ni kwamba kukojolea kitabu cha dini ni kosa. Ingawa nakubaliana naye kuwa kwa utamaduni tulioujenga wa kuheshimiana na kosa lakini nikajiuliza sheria inasemaje kuhusu hili au iko kimya? Ndo maana nikalitupa hapa janvini waliobobea katika sheria watupe ushauri.
Nawakilisha.
heshima yangu kwa jf inazidi kuongezeka kwa mambo kama haya.mimi ninaibandua sheria husika na kuibandika
ni kifungu cha 125 cha Kanunu ya Adhabu cap 16
" Any person who destroys, damages or defiles any place of worship or any object which is held sacred by any class of persons with any intention of insulting the religion of any class of persons or with the knowledge that any class of persons is likely to consider such destruction, damage or defilement as an insult to their religion is gulity of an offence"
wenye lugha zao watafsiri kwa faida ya wote
Wanajanvi jana asubuhi nilikuwa nikifuatilia matangazo ya Channel 10, nikamuona bwana mkubwa wa nchi akiwapa pole wakiristu ambao makanisa yao yamechomwa moto na kuporwa, Moja ya vitu alivyosema ni kwamba kukojolea kitabu cha dini ni kosa. Ingawa nakubaliana naye kuwa kwa utamaduni tulioujenga wa kuheshimiana na kosa lakini nikajiuliza sheria inasemaje kuhusu hili au iko kimya? Ndo maana nikalitupa hapa janvini waliobobea katika sheria watupe ushauri.
Nawakilisha.
mimi ninaibandua sheria husika na kuibandika
ni kifungu cha 125 cha Kanunu ya Adhabu cap 16
" Any person who destroys, damages or defiles any place of worship or any object which is held sacred by any class of persons with any intention of insulting the religion of any class of persons or with the knowledge that any class of persons is likely to consider such destruction, damage or defilement as an insult to their religion is gulity of an offence"
wenye lugha zao watafsiri kwa faida ya wote
:deadhorse::deadhorse::deadhorse::deadhorse::deadhorse::deadhorse::deadhorse::deadhorse::deadhorse::deadhorse::deadhorse:SHeria ≠ Sharia and is ≠ to Sheria
:eyebrows::eyebrows::lol::lol: