Vasco wa degamer
Senior Member
- Feb 21, 2016
- 194
- 144
Nilikutana na rafiki yangu mkoani mwezi wa 7 akaniambia anauza gari yake ambayo naifahamu sana coz alisema amepata tatizo, nikamwambia aniuzie mimi,
Coz nilikuwa naifahamu nikamwambia mimi bado nitakaa sana sitarudi dsm hivi karibuni coz nakufahamu na gari nalifahamu naomba tufate utalatibu tuandikishane kwa mwana sheria then nikirudi town utanikabidhi. Tukafanya hivyo nikamlipa kiasi chote na kwenye mkataba tukakubaliana atanikabidhi nikirudi ila mpaka leo amegoma kukabidhi daily ananikwepa,
nifanyeje? Sheria inasemaje na card anayo yeye.