Sheria inasemaje kuhusu kununua kitu kwa cash halafu usikabidhiwe kitu hicho,?

Vasco wa degamer

Senior Member
Joined
Feb 21, 2016
Posts
194
Reaction score
144
Nilikutana na rafiki yangu mkoani mwezi wa 7 akaniambia anauza gari yake ambayo naifahamu sana coz alisema amepata tatizo, nikamwambia aniuzie mimi,
Coz nilikuwa naifahamu nikamwambia mimi bado nitakaa sana sitarudi dsm hivi karibuni coz nakufahamu na gari nalifahamu naomba tufate utalatibu tuandikishane kwa mwana sheria then nikirudi town utanikabidhi. Tukafanya hivyo nikamlipa kiasi chote na kwenye mkataba tukakubaliana atanikabidhi nikirudi ila mpaka leo amegoma kukabidhi daily ananikwepa,
nifanyeje? Sheria inasemaje na card anayo yeye.
 
Hapo according to sales of goods act na contract act gari lolikua lako the moment ulipolilipia. Yeye alibaki kama anae possess ownership kli be tranfered immediately. You have a burden to prove beyond reasonable doubt kama ulilipa that amount na kwa ajili ya ununuzi wa hilo gari...je, una message z ushahidi? Kama unazo tafuta hudum ya wakili bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…