O Ossasso Member Joined Aug 14, 2015 Posts 12 Reaction score 0 Sep 4, 2015 #1 Nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya wana jf wa jukwaa hili la sheria. Mahaka ya Tanzania inatambua mkakataba ambao umevuja sharia ya nchi? Natanguliza shukrani..
Nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya wana jf wa jukwaa hili la sheria. Mahaka ya Tanzania inatambua mkakataba ambao umevuja sharia ya nchi? Natanguliza shukrani..
ALPHRED MAHUNJA JF-Expert Member Joined Aug 30, 2013 Posts 308 Reaction score 160 Sep 5, 2015 #2 ili uitwe mkataba lazima ufuate sheria inawezekana ikawa sheria ya kimataifa au ya nchi ya waingia mkataba.kama kuna makubaliano hayakufuata sheria basi hayo makubaliano si mkataba kwb maana mkataba ni makubaliano yenye nguvu kisheria
ili uitwe mkataba lazima ufuate sheria inawezekana ikawa sheria ya kimataifa au ya nchi ya waingia mkataba.kama kuna makubaliano hayakufuata sheria basi hayo makubaliano si mkataba kwb maana mkataba ni makubaliano yenye nguvu kisheria
swit sasha JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 270 Reaction score 206 Sep 10, 2015 #3 Null and void abinitio therefore not enforceable
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Sep 10, 2015 #4 Ossasso said: Nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya wana jf wa jukwaa hili la sheria. Mahaka ya Tanzania inatambua mkakataba ambao umevuja sharia ya nchi? Natanguliza shukrani.. Click to expand... Hapa unazungumzia 'mkataa' au 'mkataba'? Unajua tofauti yake?
Ossasso said: Nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya wana jf wa jukwaa hili la sheria. Mahaka ya Tanzania inatambua mkakataba ambao umevuja sharia ya nchi? Natanguliza shukrani.. Click to expand... Hapa unazungumzia 'mkataa' au 'mkataba'? Unajua tofauti yake?