Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Public nuisanceMtu amekamatwa akiuza nyama ya mbwa(wamemchinja mbwa wakaandaa mishikaki wakawa wanauza, na nyingine wakauza kwenye supu). Watu hawa watashitakiwa kwa kosa gani?
Msaada please!
Huku vijijini kwetu huwaga tunachinjia (ng'ombe, mbuzi, n.k) tu popote hata nyumbani na tunauzia popote. ,Na no problem ...Nafikiri kuuza nyama bila kibali. Unatakiwa kuchinja na kuuza sehemu zilizo sajiliwa.
kero kwa umma, how.Public nuisance
Lipo kwa mujibu wa sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16/Penal Codekero kwa umma, how.
Maana hilo kosa liko kwenye Penal code (kama sikosei) lakini sidhani kama kuuza nyama ya mbwa ni moja ya makosa yalioorodheshwa kama nuisance kwenye kifungu hicho