mukama talemwa
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 160
- 29
Wana jf hasa wale wajuzi wa sheria ,naombeni kujua kama sheria inatoa muda wa mwisho hukumu iwe imetolewa baada ya kusikilizwa kesi,naulizia ngazi ya mahakama kuu.au jaji anaweza kuitoa wakati wowote anapojisikia ata kama ni mwaka mzima