M mukama talemwa Senior Member Joined Jun 14, 2011 Posts 160 Reaction score 29 Jan 17, 2013 #1 Wana jf hasa wale wajuzi wa sheria ,naombeni kujua kama sheria inatoa muda wa mwisho hukumu iwe imetolewa baada ya kusikilizwa kesi,naulizia ngazi ya mahakama kuu.au jaji anaweza kuitoa wakati wowote anapojisikia ata kama ni mwaka mzima
Wana jf hasa wale wajuzi wa sheria ,naombeni kujua kama sheria inatoa muda wa mwisho hukumu iwe imetolewa baada ya kusikilizwa kesi,naulizia ngazi ya mahakama kuu.au jaji anaweza kuitoa wakati wowote anapojisikia ata kama ni mwaka mzima
mayenga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 4,118 Reaction score 1,970 Jan 19, 2013 #2 Sheria inasema siku 90 lakini kutokana na mazingira inazidi muda huo!