Sheria inasemaje kuhusu umiliki ardhi kwa diaspora wenye wanandoa ambao ni raia?

ComputersDAR

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
213
Reaction score
242
Habari zenu wakuu

Naomba kufahamu kama kuna kipengele chcohote kwenye sheria za ardhi ambacho kinaruhusu diaspora aliyeukana uraia kuendelea kumiliki ardhi ya Tanzania iwapo diaspora huyo ana mwanandoa ambaye ni raia wa Tanzania.

Nashukuru kwa ufafanuzi wenu
 
Nenda ofisi ya mwanasheria upewe huduma!

Ulipe na ada ya ushauri.
 
Shart muhimu la kumiliki ardhi ya Tanzania ni lazima uwe raia au mwekezaji.
Ukiukana uraia moja kwa moja unapoteza haki hiyo ingawa unaweza kumiliki kijanjajanja ila ukigundulika unapoteza kila kitu
 
Sawa. Hiyo ni main rule, lakini nilisikia kuna exemption(s) kama mwanandoa ni raia wa Tanzania, unaweza kuruhusiwa kumiliki ardhi.
 
Raia wa Tanzania hana kipingamizi cha kumiliki ardhi.
Tanzania mpaka sasa haina uraia pacha hivyo kama ukikana uraia wa Tanzania unapiteza haki zote alizokuwa anapata raia wa Tanzania.
 
Habari zenu wakuu

Naomba kufahamu kama kuna kipengele chcohote kwenye sheria za ardhi ambacho kinaruhusu diaspora aliyeukana uraia kuendelea kumiliki ardhi ya Tanzania iwapo diaspora huyo ana mwanandoa ambaye ni raia wa Tanzania.

Nashukuru kwa ufafanuzi wenu
Mtumie mwenza au use mwekezaji kutoka nje.
 
Hapo itakuwa imekula kwako, labda kuwe na watoto wenu wenye uraia wa tz ndo watamiliki ardhi ama uje kama mwekezaji, hakuna namna.
 
Back
Top Bottom