Au nitatizo la polisi kuwasilisha mashtaka mahakamani??Kuendesha gari bila yakuwa na insurance sikosa lajinai???achilia mabali kugonga!!Ya chenge ni jinai lakini iko tofauti sana ile tuloizoea, hii iko sana under torts na huwa ina special registry yake tofauti na jinai za kina liyumba /mramba/epa n.k
chenge yuko salama ktk ubunge wake maana ile charge yake haikuwa kama ya kijana aliyesababisha kifo cha wangwe chacha.
Pale ni uzembe zaidi ktk management ya gari na blablaaa zingine.
Mwacheni apumzike vijisenti wa watu. Amechoka sana maana kabla ya jana ni jela ya kutosha alishakuwa +++makashfa yote alokombana nayo na kuukosa u spika !!!
nadhani tuwekane sawa na kuelimishana kesi ya Chcha wanwe na chenge zote zilifunguliwa chini ya sheria za makosa ya barabarani hivyo kisheria zina uzito sawa.tofauti iliyopo ni nani na ana nafasi gani katika jamii mtu aliyeusika katika kesi.mfano yule wa chacha mojawapo ya kosa alilohusika nalo ni kuendesha gari bila leseni na kusababisha kifo.yule alihukumiwa kama sikosehi miaka 3 chenge hakuwa na bima nae alisababisha kifo lakini hukumu yake ilikuwa 100000 au kifungo miezi 6 angalia tofauti hapa.lakini utofauti huu unaletwa na discrition waliyonayo mahakimu kwenye kesi za trafic.kuna dereva mmoja wa buffalo alisababisha ajali mwaka 2002 na watu 35 walipoteza maisha lakini dereva alihukumiwa miez 7.yule anayesema kesi ya chenge imekuwa hivyo kwa sababu ni tort sio kweli inafika kuwa tort baada ya hukum ya jinai na hapo ndugu wa marehem wanaweza kufungua kesi ya madhara {tort}kudai fidiaYa chenge ni jinai lakini iko tofauti sana ile tuloizoea, hii iko sana under torts na huwa ina special registry yake tofauti na jinai za kina liyumba /mramba/epa n.k
chenge yuko salama ktk ubunge wake maana ile charge yake haikuwa kama ya kijana aliyesababisha kifo cha wangwe chacha.
Pale ni uzembe zaidi ktk management ya gari na blablaaa zingine.
Mwacheni apumzike vijisenti wa watu. Amechoka sana maana kabla ya jana ni jela ya kutosha alishakuwa +++makashfa yote alokombana nayo na kuukosa u spika !!!
Je bado an haki ya kuwa na ubunge baada ya huku hii??nadhani tuwekane sawa na kuelimishana kesi ya Chcha wanwe na chenge zote zilifunguliwa chini ya sheria za makosa ya barabarani hivyo kisheria zina uzito sawa.tofauti iliyopo ni nani na ana nafasi gani katika jamii mtu aliyeusika katika kesi.mfano yule wa chacha mojawapo ya kosa alilohusika nalo ni kuendesha gari bila leseni na kusababisha kifo.yule alihukumiwa kama sikosehi miaka 3 chenge hakuwa na bima nae alisababisha kifo lakini hukumu yake ilikuwa 100000 au kifungo miezi 6 angalia tofauti hapa.lakini utofauti huu unaletwa na discrition waliyonayo mahakimu kwenye kesi za trafic.kuna dereva mmoja wa buffalo alisababisha ajali mwaka 2002 na watu 35 walipoteza maisha lakini dereva alihukumiwa miez 7.yule anayesema kesi ya chenge imekuwa hivyo kwa sababu ni tort sio kweli inafika kuwa tort baada ya hukum ya jinai na hapo ndugu wa marehem wanaweza kufungua kesi ya madhara {tort}kudai fidia
Wakuu naomba kueleweshwa juu ya mwenendo wamakosa yajinai na yasiyokuwa ya jinai,
Sheria inasemaje kwa mbunge aliyekutwa na kosa mahakamani na kutolewa hukumu na Hakimu wa Mahaka ya Jamuhuri ya muungano Tanzania juu yake??Sheria ina semaje??
Mfano kesi ya Andrew Chenge kama Mbunge wa Jimbo la Baliadi!Je sheria inazungumza vipi kwa mtu kama huyo je ubunge wake unaendelea au hukumu inakuwa imetengua ubunge wake??:help: