mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Inategemea kesi gani?Wadau naomba kujua je mtumishi wa umma anapokuwa na kesi ya jinai mahakamani anaruhusiwa kuendelea kufanya kazi au anasimamishwa mpaka kesi iishe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaendelea na kazi mpaka itakalothibitishwa kuwa umekula rushwa...