dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Msaada hapo wadau... Kuna mtu anaishi na mke wa mtu wakati mume wa mwanamke yupo kikazi mkoa mwingine.. Na hawajaachana kwa talaka. Japo walikuwa na mgogoro kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rekebisha kwanza hapo 🤣🤣🤣🤣Huyo mume wa ndoa akubalima matokeo
Asante mkuuni kosa. na anaweza kufunguliwa civil case.
Hakuwa mke wa ndoa... Japo taratibu zote kwa ndugu zilikamilika na mahali ilitolewa..... Na tayari kuna mtotoHiyo ni adultery mkuu maana bado huyo n mke wa mtu
Angekuwa amepewa talaka hapo sawa
Mwambie mkeo aache uZinZiHakuwa mke wa ndoa... Japo taratibu zote kwa ndugu zilikamilika na mahali ilitolewa..... Na tayari kuna mtoto
Kama hamna ndoa bas siyo mke wa mtu mkuu...Hakuwa mke wa ndoa... Japo taratibu zote kwa ndugu zilikamilika na mahali ilitolewa..... Na tayari kuna mtoto
Kumeambia tu ataacha !!Mwambie mkeo aache uZinZi
Kumeambia tu ataacha !!
Na Je kilichozaliwa kwenye hicho unachokiita uzinzi kina haki upande gani ?!
Ana haki wapi ?! Kwa huyo mzinzi au kwa baba mwenye ndoa ?!. Na akiwa na haki kwa mzinzi vipi mahusiano ya mke na mme wenye ndoa yao ?!Mtoto ana haki kama watoto wengine..hata kama amezaliwa kwenye uzinzi