Sheria inasemaje kwa Mwanasheria wa Halmashauri kumsimamia mahakamani mtu anayeidai fidia Halmashauri yake?

Sheria inasemaje kwa Mwanasheria wa Halmashauri kumsimamia mahakamani mtu anayeidai fidia Halmashauri yake?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Wanasheria wetu naomba kufahamu iwapo ni sahihi kwa huyo Mwanasheria wa Halmashauri kumsimamia mtu anayetaka alipwe fidia na Halmashauri ya huyo Mwanasheria.
 
Wanasheria wetu naomba kufahamu iwapo ni sahihi kwa huyo Mwanasheria wa Halmashauri kumsimamia mtu anayetaka alipwe fidia na Halmashauri ya huyo Mwanasheria.
Wanasheria wote kwa sasa wapo chini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wala hawaruhusiwi kuendesha kesi binafsi.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Sawa hata kama ya kinidhani namshtaki wapi kwa Mwajiri wake au Mwanasheria Mkuu?
Kwa sasa wanasheria wote wa serikali wapo chini ya mwanasheria mkuu wa serikali, hivyo linapokuja swala linagusa "taaluma "yao AG ndio mtu sahihi.
 
Back
Top Bottom