Sheria inasemaje kwa unapokosa imani na Hakimu

Sheria inasemaje kwa unapokosa imani na Hakimu

KABIDI BODO

Senior Member
Joined
Jan 19, 2017
Posts
185
Reaction score
252
Naomba kueleweshwa kuhusu sheria hasa pale unapokosa imani na hakimu anaesikiliza kesi yako na wewe kumkataa.. Je nini hutokea, na ikiwa hakimu amegoma kujitoa ni hatua zipi mshitakiwa au mshitaka asiye na imani na hakimu husika anapaswa kuchukua..?

Wanasheria msaada wenu katika hili tafadhali
 
Hakuna kifungu cha sheria kinachomtaka hakimu kujitoa au la.
Ni dhamira,nia pamoja na maadili ya kazi ya uhakimu ndo humwongoza.
Wengi hutumia vigezo hivyo " kupindisha" na kutenda isivyo.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom