Naomba kueleweshwa kuhusu sheria hasa pale unapokosa imani na hakimu anaesikiliza kesi yako na wewe kumkataa.. Je nini hutokea, na ikiwa hakimu amegoma kujitoa ni hatua zipi mshitakiwa au mshitaka asiye na imani na hakimu husika anapaswa kuchukua..?
Wanasheria msaada wenu katika hili tafadhali