CONSTRUCTIVE THOUGHT JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 1,158 Reaction score 417 Apr 13, 2016 #1 Siku hizi pamekuwa na tabia ya watu kuiba hati ya nyumba na kwenda katika taasisi ya fedha kuchukuwa mkopo bila ridhaa ya mwenye hati. Inawezekanaje mtu apewe mkopo kwa hati ambayo haina jina lake? Sheria inasemaje katika hili?
Siku hizi pamekuwa na tabia ya watu kuiba hati ya nyumba na kwenda katika taasisi ya fedha kuchukuwa mkopo bila ridhaa ya mwenye hati. Inawezekanaje mtu apewe mkopo kwa hati ambayo haina jina lake? Sheria inasemaje katika hili?
M Mmongolilomo Senior Member Joined Feb 25, 2008 Posts 138 Reaction score 10 Jul 31, 2016 #2 Benki nazo zinatoaje mikopo kwa mtu ambaye hati si yake.