Sheria inasemaje mdaiwa ukishindwa kulipa deni kwa wakati mlilikubaliana mahakamani

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Wajuzi wa sheria tujuzeni mnadaina na mtu mkapelekana mahakamani mkandikishiana mbele ya hakimu kuwa kila mwezi mdaiwa alalipa kiasi furani cha pesa kwa mda wa mwaka mmoja ndio deni likaisha,

Lakini ule mwezi wa kwanza tu mdaiwa anakwama kuleta hiyo pesa kwa wakati je sheria inasemaje
 
Unaomba DECREE kisha unakaza hukumu "execution of the decree"!
 
Fafanua Mkuu
Maelezo ni complicated kidogo, but summarily ni hivi:
1. Omba court decree kwa mujibu amri iliyotolewa na mahakama kwenye hukumu,
2. Jaza execution forms
3. Taja namna unavyotaka mahakama ikusaidie, hii yaweza kuwa unataka ku seize account ya bank ya mdaiwa au kushika mali yake
4.una file hiyo execution forms mahakamani, mahakama ikiidhisha hayo maombi basi unaweza kabidhi kazi kwa dalali rasmi, mchezo umeisha!

Au

Unaweza kuomba mdaiwa afungue gerezani kwa gharama zako hadi pale atakapolipa deni!
 
Umeeleweka sana Mkuu

Nimekueliwa vizuri mkuu, ila inakuwaje kama hakuwa ameweka dhamana yoyote?
Je mahakamainaweza kukubali ombi la kuuzwa kwa dhamana?
 
Back
Top Bottom