Maelezo ni complicated kidogo, but summarily ni hivi:
1. Omba court decree kwa mujibu amri iliyotolewa na mahakama kwenye hukumu,
2. Jaza execution forms
3. Taja namna unavyotaka mahakama ikusaidie, hii yaweza kuwa unataka ku seize account ya bank ya mdaiwa au kushika mali yake
4.una file hiyo execution forms mahakamani, mahakama ikiidhisha hayo maombi basi unaweza kabidhi kazi kwa dalali rasmi, mchezo umeisha!
Au
Unaweza kuomba mdaiwa afungue gerezani kwa gharama zako hadi pale atakapolipa deni!