Na uzi ufungwe.Akifariki tu ndugu hupewa taarifa kwenda kuuchukua mwili. Wasipoenda anazikwa na magereza.
hiyo ndugu kupewa mwili ni kwa mahabusu tu lakini kwa mfungwa hampewi mwili ila ndugu wawili wa mfungwa watakuwepo kushuhudia mwili wake na kuhudhuria mazishi kama ushahidi pia kuwakilisha familia..lakini kisheria anazikwa na magereza wakitumia wafungwa ambao ni waislam au wakristo kwani masheikh na walokole wapo wengi magerezani watazika chini ya usimamizi wa askariAkifariki tu ndugu hupewa taarifa kwenda kuuchukua mwili. Wasipoenda anazikwa na magereza.
Kama akifia gerezani hawawezi kughushi kwamba kafia hospital?atapelekwa mortuary ndugu watapewa taarifa wasipofika within 14 days anazikwa na magereza. Wengi wakiumwa wanawahishwa hospital ni kosa kubwa sana mfungwa kufia jela wengi wanafia hospital, kuhusu gharama magereza watalipa kila kitu kupitia kwa afisa ustawi wa jamii wa hosp husika
Kifungo kikiisha hawawezi kukabidhiwa mwili wakauzike tena?hiyo ndugu kupewa mwili ni kwa mahabusu tu lakini kwa mfungwa hampewi mwili ila ndugu wawili wa mfungwa watakuwepo kushuhudia mwili wake na kuhudhuria mazishi kama ushahidi pia kuwakilisha familia..lakini kisheria anazikwa na magereza wakitumia wafungwa ambao ni waislam au wakristo kwani masheikh na walokole wapo wengi magerezani watazika chini ya usimamizi wa askari
siku mkifatilia ndo mtapewa taarifa kuwa alishafariki๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ๐ชHali hiyo inawakuta sana Wafungwa waliofungwa vifungo vya muda mrefu huwa hawakai gereza moja, Mara kwa mara huwa wanahamishwa unaweza kufungwa Mwanza ila ukahamishwa magereza hata 10, kutokana na hali hiyo ndugu huwa wanachoka hawawendi tena magerezani kufatilia ndugu zao maana kila wanapoenda wanaambiwa alishahamishwa.
Hali hiyo huenda na mwisho mawasiliano huwa yanakata baadae anapoteza maisha na huko ndo anazikwa na serekali bila ndugu zake kufahamishwa kutokana na kutokua na mawasiliano, siku mkifatilia ndo mtapewa taarifa kuwa alishafariki
Hata kama kafungwa wiki 2?hiyo ndugu kupewa mwili ni kwa mahabusu tu lakini kwa mfungwa hampewi mwili ila ndugu wawili wa mfungwa watakuwepo kushuhudia mwili wake na kuhudhuria mazishi kama ushahidi pia kuwakilisha familia..lakini kisheria anazikwa na magereza wakitumia wafungwa ambao ni waislam au wakristo kwani masheikh na walokole wapo wengi magerezani watazika chini ya usimamizi wa askari
Aisee.. hata kama ni sheria lakini sio haki wala vizuri.Hali hiyo inawakuta sana Wafungwa waliofungwa vifungo vya muda mrefu maana huwa hawakai gereza moja, Mara kwa mara huwa wanahamishwa unaweza kufungwa Mwanza ila ukahamishwa magereza hata 10, kutokana na hali hiyo ndugu huwa wanachoka hawawendi tena magerezani kufatilia ndugu zao maana kila wanapoenda wanaambiwa alishahamishwa.
Hali hiyo huenda na mwisho mawasiliano huwa yanakata baadae anapoteza maisha na huko ndo anazikwa na serekali bila ndugu zake kufahamishwa kutokana na kutokua na mawasiliano, siku mkifatilia ndo mtapewa taarifa kuwa alishafariki
Hukumwelewa, kasema uzi ufungwe baada ya jibu sahihi kupatikanaKwa kosa gani?๐ญ๐ญ๐ญ ukifia gerezani nani atauzika!?
Huku mtaani sijawahi kuona msiba halafu tukaambiwa marehemu alikuwa mfungwa!!atapelekwa mortuary ndugu watapewa taarifa wasipofika within 14 days anazikwa na magereza. Wengi wakiumwa wanawahishwa hospital ni kosa kubwa sana mfungwa kufia jela wengi wanafia hospital, kuhusu gharama magereza watalipa kila kitu kupitia kwa afisa ustawi wa jamii wa hosp husika