Sheria inasemaje mtumishi wa umma anapokuwa Na kesi ya jinai je anaendelea Kazi?

Sheria inasemaje mtumishi wa umma anapokuwa Na kesi ya jinai je anaendelea Kazi?

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
350
Reaction score
338
Naomba kujua kupitia wanasheria je mtumishi wa umma anapokuwa ameshtakiwa Na Pccb je anaruhusiwa kuendelea Na Kazi?
 
Hiyo kesi ya Jinai ni ya PCCB ?
hao nao siku hizi wanazusha mengi wanaweza hata kukusingizia ili mradi wapate chochote
Hebu muone Mwanasheria atakusaidia kwani mm najua ni Mwendesha Mashtaka wa Serikali
Na ipelelezi usichukue siku 90 lazima Mwwndwsha mashtaka awe amekamilisha na kesi usichukue miaka mi3
Tafuta Wakili km ni Kesi ya kikazi, (Frauds nk) lakini km ni ya mitaani au Traffic ww endelea na kazi au umemtwanga Boss kwa kukuchongea PCCB komaa
Mpira wa kona usikute wewe ndio PCCB tafadhali achana kabisa na maisha ya watu huko Mwanza Rais kasema waacheni wajitafutie riziki wakawasomeshe watoto wao, sasaww kukomaa na mtu sio kuzuri atashinda kesi atalipwa na nani? fuatilieni EPA Escrow nk
 
Back
Top Bottom