Hiyo kesi ya Jinai ni ya PCCB ?
hao nao siku hizi wanazusha mengi wanaweza hata kukusingizia ili mradi wapate chochote
Hebu muone Mwanasheria atakusaidia kwani mm najua ni Mwendesha Mashtaka wa Serikali
Na ipelelezi usichukue siku 90 lazima Mwwndwsha mashtaka awe amekamilisha na kesi usichukue miaka mi3
Tafuta Wakili km ni Kesi ya kikazi, (Frauds nk) lakini km ni ya mitaani au Traffic ww endelea na kazi au umemtwanga Boss kwa kukuchongea PCCB komaa Mpira wa kona usikute wewe ndio PCCB tafadhali achana kabisa na maisha ya watu huko Mwanza Rais kasema waacheni wajitafutie riziki wakawasomeshe watoto wao, sasaww kukomaa na mtu sio kuzuri atashinda kesi atalipwa na nani? fuatilieni EPA Escrow nk