D deo paul555 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2018 Posts 1,405 Reaction score 521 Mar 31, 2019 #1 Habari wadau,kumekuwepo mkanganyiko juu ya talalaka pande zote Islam na ukristo watoto haki yao ikoje wale walioko kwenye ndoa hebu mnisaidie mwanasheria hilo. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau,kumekuwepo mkanganyiko juu ya talalaka pande zote Islam na ukristo watoto haki yao ikoje wale walioko kwenye ndoa hebu mnisaidie mwanasheria hilo. Sent using Jamii Forums mobile app
lossoJR JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 2,711 Reaction score 2,384 Mar 31, 2019 #2 Pole kwa kuvunja ndoa mkuu.. mengineyo wasubiri wanasharia Sent using Jamii Forums mobile app
Regnatus Cletus JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 1,114 Reaction score 959 Mar 31, 2019 #3 Watoto hawana mgao wowote inapotokea talaka, isipokuwa wana haki ya kutunzwa. [maintenance] Mgao ni wa mke na mume tu.
Watoto hawana mgao wowote inapotokea talaka, isipokuwa wana haki ya kutunzwa. [maintenance] Mgao ni wa mke na mume tu.
D deo paul555 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2018 Posts 1,405 Reaction score 521 Mar 31, 2019 Thread starter #4 Regnatus Cletus said: Watoto hawana mgao wowote inapotokea talaka, isipokuwa wana haki ya kutunzwa. [maintenance] Mgao ni wa mke na mume tu. Click to expand... Ahsante,mwanasheria msomi umemaliza kiu yangu imekwisha. Sent using Jamii Forums mobile app
Regnatus Cletus said: Watoto hawana mgao wowote inapotokea talaka, isipokuwa wana haki ya kutunzwa. [maintenance] Mgao ni wa mke na mume tu. Click to expand... Ahsante,mwanasheria msomi umemaliza kiu yangu imekwisha. Sent using Jamii Forums mobile app
Nitoke vipi Member Joined Nov 27, 2015 Posts 24 Reaction score 5 Dec 6, 2021 #5 Mkuu ukiweza nipe namba zako inbox