Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisheria yupo sahihi kwa sababu dhamana ni haki ya kikatiba kwa mtuhumiwa. Pia kosa lenyewe lina dhamana. Hivyo hakuna tatizo.Kuna kijana amempa mtoto wa shule mimba yule kijana akakamatwa chaajabu police wamemwachia bila kunipa taarifa yoyote,nilipomuuliza police aliyepewa kupeleleza hiyo kesi ameniambia mtuhumiwa ameachiwa kwa dhamana je hili lipoje kisheria?
Asante kwa ufafanuzi mkuuKisheria yupo sahihi kwa sababu dhamana ni haki ya kikatiba kwa mtuhumiwa. Pia kosa lenyewe lina dhamana. Hivyo hakuna tatizo.
Kadhalika, kuachiwa kwa dhamana haimaanishi kwamba ndiyo kesi imeisha hivyo. Hivyo kesi itaendelea kama kawaida huyo mtuhumiwa akiwa nje kwa dhamana.