Kisheria yupo sahihi kwa sababu dhamana ni haki ya kikatiba kwa mtuhumiwa. Pia kosa lenyewe lina dhamana. Hivyo hakuna tatizo.
Kadhalika, kuachiwa kwa dhamana haimaanishi kwamba ndiyo kesi imeisha hivyo. Hivyo kesi itaendelea kama kawaida huyo mtuhumiwa akiwa nje kwa dhamana.